Taqse ni kampuni ya kitanzania inayohusika na utoaji wa huduma ya mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara wakati na wakubwa. Tunatoa mikopo kuanzia Tsh 20000/= hadi 1,000,000/= kwa riba nafuu kabisa.
Tunapatikana kila kona ya Tanzania kwa kuwa na mawakala wetu nchi nzima!
Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la TAQSE CREDIT T LTD ili uweze kuwasiliana na wahudumu wetu.
Karibu,